BOOKS - Mlango Wa Tatu (Three Doors Down) (Indigo)
Mlango Wa Tatu (Three Doors Down) (Indigo) - Michele Sudler January 1, 2012 PDF  BOOKS
US $6.69

Views
381281
Mlango Wa Tatu (Three Doors Down) (Indigo)
Author: Michele Sudler
Year: January 1, 2012
Format: PDF
File size: PDF 912 KB
Language: English

Kayla, mama mwenye uzoefu wa mapenzi yasiyodumu, ameapa kutokuwa na mwanaume milele, kama anavyodai. Hayo yalitokea kabla hajakutana na mwanaume aliyekuwa jirani mlango wa tatu kutoka kwake. Sasa hawazi kingine ila mpenzi wake Marley Jarnette. Mwenyewe Marley anaelewa kuwa ana safari ndefu kumpata Kayla kimapenzi, baadaye anagundua kuwa ana washirika wengi wa kumsaidia katika safari hiyo Kayla ana binti zake watatu, ambao wamechoshwa na maisha wanayoishi hasa kwa ahadi laghai za mama yao. Je! Msaada wao kwa Kayla utamuwezesha agundue kuwa anamuhitaji Marley kufanikisha maisha yake?

You may also be interested in: